App hii imetengenezwa kwa kusudi la kumsaidia mtu yeyote anayetamani kuyaelewa maandiko matakatifu kama yanavyobainika katika Biblia takatifu.
Ni muhimu kuyaelewa maandiko matakatifu kwani, haiwezekani kumpendeza Mungu pasipo imani, na imani huja kwa kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu.
Kusudi la app hii ni kukusikizisha habari njema za neno la Mungu.